
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Naibu Waziri Mkuu wa
China, Mhe. Hui Liangyu wakati alipompokea kwenye wuwanja wa ndege wa
Dar es salaam Septemba 5, 2012. Mhe. Hui yupo nchini kwa ziara ya
kikazi ya siku tatu.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)