WAZIRI MKUU AONGOZA MAMIA KWENYE MAZISHI YA ASKOFU KIKOTI WA MPANDA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WAZIRI MKUU AONGOZA MAMIA KWENYE MAZISHI YA ASKOFU KIKOTI WA MPANDA

 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kitoa heshima za mwisho kwa marehemu Mhashamu, Askofu Pascal William Kikoti katika ibada ya mazishi iliyofanyika kwenye kanisa kuu katoliki, jimbo la Mpanda, Septemba 1, 2012.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitupa mchanga kwenye kaburi la Askofu Pascal William Kikoti katika mazishi yaliyofanyika kwwney Kanisa Kuu la Katoliki jimbo la Mpanda mjini Mpanda Septemba 1, 2012.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kiwa amebeba shada la maua kwa ajili ya kuliweka kwenye kaburi la aliyekuwa Askofu wa Jimbo la Mpanda, Mhashamu Pascal William Kikoti katika mazishiyaliyofanyika kwenye kanisa kuu Katoliki jimbo la Mpamba, Septemba 1, 2012. Maaskofu wakoka kwenye kanisa kuu Katoliki la Mpanda Mjini Mpanda baada ya mazishi aliekuwa Askofu wa Jimbo la Mpanda Mhashamu, Pascal William Kikoti yaliyofanyika kwenye kanisa hilo Mjini Mpanda Septemba 1, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages