WARSHA YA UMUHIMU WA ALAMA KATIKA UTOAJI WA HUDUMA KWA VIZIWI YAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WARSHA YA UMUHIMU WA ALAMA KATIKA UTOAJI WA HUDUMA KWA VIZIWI YAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM

Mkurugenzi wa Idara ya Habari( MAELEZO)Assah Mwambene  kushoto akifungua Warsha kuhusu umuhimu wa Lugha ya Alama katika Utoaji  huduma  kwa Viziwi kwenye Ukumbi wa World Family of  Radio Maria,Regency Estate mjini Dar es Salaam na kulia ni Mkalimani wa Lugha ya Alama.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Ndugu Assah Mwambene Kushoto akibadilishana  mawazo na  Deputy Chief Executive Officer  wa (CCBRT) Mama Susan Boon kwenye Warsha ya kuhusu Umuhimu wa Lugha ya Alama katika utoaji  huduma kwa Viziwi kwenye Ukumbi wa world Family  of  Radio Maria ,Regency Estate mjini Dar es Salaam leo.
Mkuu wa wa Idara ya Wanawake Chama Cha Viziwi Tanzania( CHAVITA)Lupi Maswanya Mwaisaka akitoa neno la Shukrani kwa Mgeni  Rasmi Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Ndugu Assah Mwambene wakati wa kufungua Warsha kuhusu Umuhimu wa  Lugha ya Alama katika utoaji  huduma kwa Viziwi kwenye Ukumbi wa World Family of Radio Maria uliopo Regency Estate  mjini Dar es Salaam leo.
Baadhi ya Washiriki kutoka Vyama na Asasi za Viziwi nchini ,Serikalini na kutoka Mashirika mengine ya kiraia wakimsikiliza Mkurugenzi  wa Idara ya Habari  (MAELEZO )Ndugu Assah Mwambene (hayupo pichani )akifungua Warsha  kuhusu umuhimu wa Lugha ya Alama katika Utoaji huduma kwa Viziwi kwenye Ukumbi  wa World Family of Radio Maria mjini Dar es Salaam leo.
Baadhi ya Washiriki kutoka Vyama na Asasi za Viziwi nchini ,Serikalini na kutoka Mashirika mengine ya kiraia wakimsikiliza Mkurugenzi  wa Idara ya Habari  (MAELEZO )Ndugu Assah Mwambene (hayupo pichani )akifungua Warsha  kuhusu umuhimu wa Lugha ya Alama katika Utoaji huduma kwa Viziwi kwenye Ukumbi  wa World Family of Radio Maria mjini Dar es Salaam leo.Mkurugenzi wa Idara ya Habari ( MAELEZO)Ndugu Assah Mwambene  wa kwanza kushoto akiangalia baadhi ya kazi zinazotengenezwa  na Viziwi wakati wa warsha kuhusu umuhimu wa lugha ya alama katika utoaji wa huduma kwa viziwi kwenye Ukumbi wa world Family  of  Radio Maria ,Regency Estate mjini Dar es Salaam leo.
Baadhi ya washiriki wa Warsha kuhusu Umuhimu wa Lugha ya Alama katika utoaji  huduma kwa Viziwi kwenye picha ya pamoja na mgeni Rasmi Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Ndugu Assah Mwambene  wa sita kushoto (aliyevaa suti) kwenye Ukumbi wa World Family of  Radio Maria ,uliopo  Regency Estate mjini Dar es Salaam leo.PICHA NA ANNA ITENDA WA MAELEZO

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages