WANAFUNZI USTAWI WATUNUKIWA SASA WAJUA ALAMA ZA NYAKATI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WANAFUNZI USTAWI WATUNUKIWA SASA WAJUA ALAMA ZA NYAKATI

Wanafunzi wa chuo cha Ustawi wa jamii waliohitimu mafunzo ya Lugha za alama za Viziwi wakiwa kwenye picha ya pamoja na mgeni rasmi Kaimu Kamishna wa Ustawi wa Jamii, Jeanne K. Ndyetabura  (aliyekaa mstari wa mbele katikati akiwa na vazi la suti). Jumla ya Wanafunzi 134 walihitimu mafunzo hayo kwa mara ya kwanza tangu chuo hicho kianzishwe hapa nchini. Meza kuu ambapo kutoka kulia ni Dk. Theresia Kaijage (Kamishna mstaafu wa Ustawi wa Jamii), Mlwande Madihi (Mkurugenzi wa Mafunzo wa Chuo cha Ustawi wa Jamii), Abdallah Nyange (Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi na muhitimu wa mafunzo ya lugha za alama), Jeanne K. Ndyetabura (Kaimu Kamishna wa Ustawi wa Jamii), Dk. Naftari Ng’ondi (Mkuu wa Idara ya Ustawi wa Jamii), Lupi Mwaisaka Magwanya (CHAVITA) na Paulo Wadugu (Mwalimu wa alama za lugha)
Mwenyekiti wa wanafunzi waliohitimu, Abdallah Nyange (kushoto) akiwasiliana na Mwalimu wake Paulo Wadugu (kulia) kwa njia za alama za nyakati.
 
Mwenyekiti wa wanafunzi waliohitimu, Abdallah Nyange (kushoto) akiwasiliana na Mwalimu wake Paulo Wadugu (kulia) kwa njia za alama za nyakati.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages