UZINDUZI WA BODI PSPF - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

UZINDUZI WA BODI PSPF

Waziri wa Fedha Mhe. Dr. William Mgimwa  katikati akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Bodi ya Wadhamini, Menejimenti ya PSPF, SSRA na Wawakilishi wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii nchini.  Kutoka kushoto waliokaa ni Adam H. Mayingu (Kaimu Mkurugenzi Mkuu-PSPF), Ally A. Kiwenge (Mjumbe), Irene Isaka (Mkurugenzi Mkuu -SSRA), Lila Mkilla (Mjumbe), George Yambesi (Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini), Clement Mswanyama (Mjumbe) na Elipina Mlaki (Mjumbe)
Waziri wa Fedha Mhe. Dr. William Mgimwa (kushoto) akitoa hotuba wakati wa uzinduzi wa Bodi mpya ya Wadhamini ya Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF) iliyoteuliwa rasmi tarehe 01 Agosti 2012 kwa kipindi cha miaka mitatu (3).  Kushoto kwa Mhe. Waziri ni Irene Isaka (SSRA) na Wajumbe wa Bodi ya Wadhamini: Elipina Mlaki, Clement Mswanyama, Ally A. Kiwenge na Lila Mkilla

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages