Umoja wa Wanawake(UWT)Wampogeza Aliyekua Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa(UN)Dk Asha-Rose Migiro - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Umoja wa Wanawake(UWT)Wampogeza Aliyekua Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa(UN)Dk Asha-Rose Migiro

 Sehemu ya maaandamano yakiwa na mabango mbalimbali kwenye sherehe  ya kumpongeza Aliyekua Naibu Katibu Mkuu huyo wa Umoja wa Mataifa Dk  Asha rose migiro, katika hafla iliyoandaliwa na Umoja wa Wanawake Tanzanaia (UWT), kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam jana
 Aliyekua Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa mataifa Dk Asha Rose Migiro akisalimiana na baadhi ya wanachama wa UWT waliojitokeza kwa wingi kwenye sherehe ya kumpongeza Dk Migiro kwa kumaliza muda wake wa utumishi salama umoja wa mataifa jana
 baadhi ya kinamama na wanachama wa UWT wakipita wakiwa na zawadi mbalimbali za Aliyekua Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa mataifa Dk Asha Rose Migiro kwenye sherehe ya kumpongeza Dk Migiro kwa kumaliza muda wake wa utumishi salama umoja wa mataifa jana
Mke wa Rais, Mama Salma Kikwete akimpongeza Dk. Asha Rose Migiro, wakati wa sherehe ya kumpongeza Naibu Katibu Mkuu huyo wa Umoja wa Mataifa aliyemaliza muda wake, katika hafla iliyoandaliwa na Umoja wa Wanawake Tanzanaia (UWT), kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam.jana

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages