![]() |
| Kikundi cha kwaya ya CCM kijiji cha Mwandoya Jimbo la Kisesa kikitumbuiza kusanyikoni. |
![]() |
| Mtangazaji wa kituo cha televisheni cha Star Tv Abdalah Tilata (mwenye miwani kushoto) akipata flash na marafiki Jimboni Kisesa. |
![]() |
| Mbunge Luhaga Mpina akivishwa vazi maalum la jadi ya kabila la Wasukuma kwa ajili ya kusimikwa rasmi kuwa Chifu. |
![]() |
| Shughuli za usimikwaji zikiendelea.... |
![]() |
| Wananchi wa kijiji cha Mwandoya wakimsikiliza mgombea wao wakati alipopewa nafasi kuhutubia. |
![]() |
| Mhe. Mpina naye ni mkali katika kuimba....... |
![]() |
| Sehemu ya hotuba..... |



















No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)