Mkurugenzi
Mkuu wa Tume ya Usuluhishi na Maamuzi (CMA) (katikati mwenye suti)
akizungumza na waandishi wa habari jiji Dar es Salaam leo wakati wa
semina ya siku moja kwa wanahabari kuhusu taratibu za kutatua migogoro
ya kila siku na changamoto zake sehemu za kazi Tanzania, Tume ya
Usuluhishi na Uamuzi (CME) ni Taasisi ya Serikali iliyoundwa chini ya
sheria ya Taasisi za kazi no.7 ya mwaka 2004.
Mdau
wa Habari kutoka (UPL) Noor Shija (kushoto) akichangia katika semina
hiyo ya siku 1 kwa waandishi wa habari jijini Dar es Salaam iliyofanyika
leo.
Baadhi
ya wanahabari wakipitia makabrasha katika semina ya siku moja jijini
Dar es Salam kuhusu taratibu za kutatua mogogoro ya kila siku na
changamoto zake sehemu za kazi. Semina hiyo imeandaliwa na Tume ya
Usuluhishi na Uamuzi (CMA) Wizara ya Kazi na Ajira , ambapo CMA
imeeleza tangu kuzinduliwa kwa TUME mwaka 2007 hadi -30 juni,2012 tume
imepokea migogoro 43,003 na kati ya hiyo migogoro 31,125 sawa na
asilimia 72.3 imeshapatiwa ufumbuzi. Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO).
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)