Mkaguzi Msaidizi wa Polisi, Kuruthum Bambe (kushoto) akiwa na Mkaguzi wa Polisi, Zauda Mohamed wakati wa hafla hiyo.
Kamanda Mpinga (kulia) akiteta jambo na msaidizi wake, Kahatano wakati wa hafla hiyo.
Mkurugenzi
wa Uhusiano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Steve Kilindo
(kulia), akimkabidhi Kamanda wa Kikosi cha Polisi cha Usalama Barabarani
nchini, Mohammed Mpinga sehemu ya fulana 550, kofia 200 na stika 350
kwa ajili ya maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani katika
hafla iliyofanyika, Dar es Salaam jana. Vifaa hivyo vina thamani ya sh.
mil. 11.
Kamanda
wa Kikosi cha Polisi cha Usalama Barabarani nchini, Mohammed Mpinga,
akiangalia moja ya fulana baada ya kukabidhiwa na Mkurugenzi wa
Uhusiano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Steve Kilindo.
Mkurugenzi
wa Uhusiano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Steve Kilindo
(kulia), akimkabidhi Kamanda wa Kikosi cha Polisi cha Usalama Barabarani
nchini, Mohammed Mpinga sehemu ya stika 350 kwa ajili ya maadhimisho ya
Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani katika hafla iliyofanyika, Dar es
Salaam jana. TBL pia ilikabidhi fulana 550 na kofia 200 vyote vikiwa na
thamani ya sh. mil. 11.
Kamanda Mpinga akionesha stika hizo zenye ujumbe maalumu maadhimisho hayo
Kamanda
Mpinga (kushoto), akitoa shukrani kwa TBL. Kutoka kulia ni Ofisa
Uhusiano wa TBL, Dorris Malulu na Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa
kampuni hiyo, Steve Kilindo.





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)