Hi
ma all friends, arond the world, Napenda kuwafahamisha na
kuwatahadhalisha kuhusu Email iliyotumwa kwenu kwa wote mliobahatika
kupata kuhusu tukio lililoelezwa ya kuwa nimepatwa na tatizo la kuibiwa
nikiwa Spain.
Jambo
hilo si la kweli hao ni matapeli tu ambao wanajaribu kutafuta namna ya
kujipatia Pesa kupitia account yangu ya Mail. Hivi sasa me nipo London
na wala sijafika huko Spain na wala sijapatwa na tatizo lolote.
Nilichofanya
kwa sasa
tayari nimekwishabadilisha Passward yangu na Details za Account yangu
ya Email. So Ondoeni shaka na OGOPENI MATAPELI. It's Me Sufianimafoto





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)