Sikiliza swaga za POLISI anapotongoza....
Haroooow wewe, hebu kuja haraka, unajua nakuthamini sana kama RUSHWA,
bila wewe siwezi kuishi ni sawa na kukosa BUNDUKI eneo la tukio.
Nitakuheshimu kama ninavyoliheshimu LINDO, wewe ndio R.T.O wa moyo wangu.
Mbona upo kimya nijibu basi nipate kufungua JARADA ra RB ndani ya moyo wangu.
Usinifanye moyo ukaenda mbio kama DIFENDA, nitakuwekea usalama kama msafara wa RAIS.
Usinifanye nikajutia mapenzi kama LULU pale mahakama ya KISUTU.

No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)