Nahodha wa timu ya Simba Juma K.
Juma akinyanyua juu ngao yao ya hisani baada ya kukabidhiwa na mgeni
rasmi katika mchezo wa kukaribisha Ligi Kuu ya Tanzania bara .
Timu ya Simba imefanikiwa kushinda ngao ya hisani kwa kuifunga timu ya Azam FC magoli 3-2 yaliyofungwa na Daniel Akufo,
Mwinyi Kazimoto na Emmanuel Okwi, wakati wachezaji wa Azam FC Kipre
Cheche pamoja na John Boko wamefunga magoli kwa upande wa Azam FC goli
la kwanza la Simba limefungwa na kwa penati, baada ya wachezaji wa Azam
kuunawa mpira katika eneo la hatari wakati wakimzuia mshambuliaji wa
Simba Emmanuel Okwi aliyekuwa akielekea golini kwao





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)