SHULE YA SEKONDARI KIGHARE, MWANGA YAPIGWA TAFU - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

SHULE YA SEKONDARI KIGHARE, MWANGA YAPIGWA TAFU

  HeidelbergCement Competence Centre Materials Director, Barry Hudson (3rd L), Mwanga District Commissioner, Shwaibu Issa Ndemangwa (4th L), cuts a ribbon during the inauguration ceremony of two classrooms of Kighare Secondary School constructed by the Belgium Competence Centre Materials in partnership with Tanzania Portland Cement and Joram General Enterprises Ltd. A brief occasion was held at
the school premises in Mwanga, Kilimanjaro over the weekend.  Others from left are TPCC CSR Executive,  Natasha D'Souza, TPCC Managing Director, Pascal Lesoinne and School headmistress, Mary Namleza. The classrooms were destroyed by floods last year.
  Mkuu wa Wilaya ya Mwanga, Shaibu Ndemanga (kulia) na Mkurugenzi wa Kitengo cha Uwezeshaji cha Kampuni ya HeidelbergCement, Barry Hudson wakifungua pazia  kuashiria uzinduzi rasmi wa madarasa mawili YA Shule ya Sekondari Kighare yaliyojengwa na HeidelbergCement kwa ushirikiano na Kampuni ya Tanzania Portland Cement (TPCC) na wakala wa usambazaji wa saruji za Twiga ya Joram General Enterprises Ltd. Hafla hiyo ilifanyika Mwanga, Kilimanjaro mwishoni mwa wiki.
  Mkuu wa Wilaya ya Mwanga, Shaibu Ndemanga akiagana na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Saruji ya Tanzania Portland Cement Ltd, Pascal Lesoinne baada ya kuzindua rasmi madarasa mawili ya Shule ya Sekondari Kighare, yaliyojengwa na Kitengo cha Uwezeshaji cha Kampuni ya HeidelbergCement kwa kushirikiana na TPCC na wakala wa usambazaji wa saruji za Twiga ya Joram General Enterprises Ltd. Hafla hiyo ilifanyika Mwanga, Kilimanjaro mwishoni mwa wiki. Madarasa hayo yalibomolewa na mafuriko mwaka jana.
  Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Saruji ya Tanzania Portland Cement (TPCC), Pascal Lesoinne akizungumza katika hafla ya uzinduzi rasmi madarasa mawili ya Shule ya Sekondari Kighare, yaliyojengwa na
Kitengo cha Uwezeshaji cha Kampuni ya HeidelbergCement kwa kushirikiana na TPCC na wakala wa usambazaji wa saruji za Twiga ya Joram General Enterprises Ltd. Hafla hiyo ilifanyika Mwanga, Kilimanjaro mwishoni mwa wiki. Madarasa hayo yalibomolewa na mafuriko mwaka jana.
Picha ikionyesha majengo ya madarasa hayo yaliyojengwa na Kitengo cha Uwezeshaji cha Kampuni ya HeidelbergCement kwa kushirikiana na TPCC na wakala wa usambazaji wa saruji za Twiga ya Joram General Enterprises Ltd

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages