Shughuli mbalimbali Alizofanya Rais Jakaya Kikwete Kwenye Ziara Rasmi Nchini Kenya - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

demo-image

Shughuli mbalimbali Alizofanya Rais Jakaya Kikwete Kwenye Ziara Rasmi Nchini Kenya

nbo12
nbo13
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakipanda miti wakati walipozuru mtambo wa kuzalisha umeme kwa kutumia mvuke utokao chini ya ardhi wakati wa  Ziara Rasmi ya Kiserikali (State Visit) ya siku tatu  nchini Kenya.
nb10
nbo6
kk1
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete na mwenyeji wao Rais Mwai E. Kibaki Wakisaini kitabu maalum baada ya kuwasili nchini Kenya, Jumanne, 11 Septemba , 2012,  kuanza Ziara Rasmi ya Kiserikali (State Visit) ya siku tatu ikiwa ni ziara yake ya kwanza rasmi nchini humo ingawa amefanya ziara kadhaa za kikazi nchini Kenya.
nbo21
nbo11
 Baadhi ya mawaziri na maofisa waliondamana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete katika ziara rasmi ya siku tatu nchini Kenya
nbo15
  Baadhi ya mawaziri na maofisa waliondamana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete katika ziara rasmi ya siku tatu nchini Kenya
kq6
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na wenyeji wake wa Chuo Kikuu cha Kenyatta baada ya kufungua Jengo la Shule ya Ukarimu na Utalii ya Chuo hicho.Picha na IKULU

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Pages