Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifuatana na Balozi wa India
nchini Tanzania Debnath Shaw alipofika Ikulu Mjini
Zanzibar,kujitambulisha kwa Rais leo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akisalimiana na Balozi wa India nchini Tanzania Debnath Shaw
alipofika Ikulu Mjini Zanzibar,kujitambulisha kwa Rais leo.

Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,
akizungumza na Balozi wa India nchini Tanzania Debnath Shaw alipofika
Ikulu Mjini Zanzibar,kujitambulisha kwa Rais leo.Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu-Zanzibar





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)