Rais na Amiri Jeshi
Mkuu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akitoa pole kwa mjane na ndugu wa wa Meja Jenerali
Mstaafu Anatoli Kamazima leo nyumbani
kwa marehemu Tegeta, Dar es salaam. Marehemu Kamazima, ambaye amefariki dunia usiku
wa kuamkia leo Jumatano ya Tarehe 26
Septemba, 2012 utokana na mshtuko wa moyo, alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa kwanza wa
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini TAKUKURU.
Rais
na Amiri Jeshi Mkuu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Brigedia
Jenerali Mstaafu Tindamanyire, ndugu wa hayati Meja Jenerali
Mstaafu Anatoli Kamazima, leo nyumbani kwa marehemu Tegeta, Dar es
salaam. Kulia kwa Rais ni Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange na
Mnadhimu Mkuu Luteni Jenerali Samwel Albert Ndomba. Marehemu Kamazima,
ambaye amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumatano ya Tarehe 26
Septemba, 2012 utokana na mshtuko wa moyo, alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa
kwanza wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini TAKUKURU.







No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)