
Rais Joseph Kabila akiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere jana

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mh.Shamsi Vuai Nahodha
akimpokea Waziri wa Ulinzi na Veterani wa Jeshi wa Afrika Kusini Bi.
Nosiviwe Mapisa-Nqakula.

Rais Joseph Kabila akipeana mikono na Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya
Dar es salaam Bw. Suleiman Kova wakati alipowasili kwenye Uwanja wa
Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere akiwa na mwenyeji wake Rais Jakaya
Kikwete. Rais Kabila alihudhuria mkutano huo kama mgeni mwalikwa.


Rais Jakaya Kikwete akimpokea Rais Hifikepunye Pohamba wa
Namibia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere akiwa na
mwenyeji wake Rais Jakaya Kikwete


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe
akimlaki Waziri wa Ulinzi na Veterani wa Jeshi wa Afrika Kusini Bi.
Nosiviwe Mapisa-Nqakula jana.Picha na IKULU





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)