Bondia
Emmanuel Mogela wa mkoa wa kimichezo wa Ilala akiwa chini baada ya
kupigwa konde na bondia, Said Hofu wa JKT katika mashindano ya Ubingwa
wa Taifa 2012 kwenye Uwanja wa Ndani wa Taifa jijini Dar es Salaam leo.
Said Hofu alishinda kwa RSCO.
Kocha
wa timu ya Ngumi ya mkoa wa kimichezo Ilala, Rajabu Mhamila akimuandaa
mchezaji wake, Eammanuel Mogela kabla ya kupanga ulingoni na kuipata
kichapo kutoka kwa mpinzani wake, Said Hofu wa JKT.Picha Na Habari Mseto Blog





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)