
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Akiagana na Mbunge wa
Bunge la Zimbabwe na Mjumbe wa Kamati ya Interparliamentary unity
(IPU), Thabitha Khumalo, wakati akiagana na ujumbe wa IPU baada ya
mzungumzo na ujumbe huo, mazungumzo yaliyofanyika Ikulu jijini Dar es
Salaam, leo Sept 11, 2012.

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na ujumbe wa Kamati ya ‘Interparliamentary Unity’ (IPU),
wakati ujumbe huo ulipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam,
leo Sept 11, 2012 kwa mazungumzo.

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe wa Kamati ya Interparliamentary
unity (IPU) baada ya mazungumzo wakati ujumbe huo ulipofika Ofisini
kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo. Sept 11, 2012. Picha na Ofisi ya
Makamu wa Rais





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)