MAKAMU WA RAIS DK. BILAL AKIWA KWENYE MKUTANO IRAN - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MAKAMU WA RAIS DK. BILAL AKIWA KWENYE MKUTANO IRAN

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal akizungumza na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Kiislam ya Iran Dk. Mohammad Reza Rahimi,  walipokutana jana mjini Tehran  na kuzungumzia masuala mbalimbali yanayohusu uhusiano wa nchi zao.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Dk. Mohammed Gharib Bilal akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa Serikali ya Tanzania uliohudhuri Mkutano wa  16 wa  Wakuu wa Nchi  za Siasa ya Kutofungamana na Upande wowote  uliomalizika jana mjini Tehran,  Iran.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages