Waziri wa Afya na ustawi wa jamii wa Smz, Juma duni Haji
Waziri
wa Afya na ustawi wa jamii wa Smz Juma duni Haji akifanya ukaguzi kwa
timu ya Jamhuri kabla ya kuanza kwa mchezo baina yao na Super Falcon,
kulia ni Meneja masoko wa kinywaji cha Grandmalt Fimbo Buttala na
Kushoto ni Makamu wa pili wa ZFA pemba Ally mohamed.Timu ya Jamhuri
iliifunga timu ya Super Falcon ya pemba 3:1 kwenye mchezo uliochezwa
usiku uwanja wa Amani.
Washindi
mchezo wa Ngao ya hisani ya Ligi Kuu ya Grandmalt Premier Legue ya
Zanzibar timu ya Jamhuri ya Pemba wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni
rasmi Waziri wa Afya na ustawi wa jamii wa Smz Juma duni Haji
katikati,kulia ni Meneja masoko wa kinywaji cha Grandmalt Fimbo Buttala
na Kushoto ni Makamu wa pili wa ZFA pemba Ally mohamed.Timu ya Jamhuri
iliifunga timu ya Super Falcon ya pemba 3:1 kwenye mchezo uliochezwa
usiku uwanja wa Amani.
Waziri
wa Afya na Ustawi wa Jamii wa Smz Juma Duni Haji akimkabidhi ngao ya
hisani nahodha wa timu ya Jamhuri ya Pemba baada ya kuifunga
Falcon 3-1.





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)