Hakimu wa Mahakama ya Mkoa Chake chake
Pemba Khamis Ramadhan akitoa maelezo kwa wananchi wa shehia ya Mkoroshoni Wilaya
ya Chake chake, wakati ujmbe huo wa Idara ya Mahakama ukiwa na ziara ya kupita
shehia mbali mbali, ili kukusanya maoni kwa wananchi juu ya utendaji wao wa
kazi
Sheha wa Shehia ya Mkoroshoni Khamis Idd
akifunga kikao kilichoandaliwa na Idara ya Mahakama kwa wananchi wa shehia yake,
ambapo Idara hiyo imo katika mchakato wa kuzipitia shehia mbali mbali kwa lengo
la kukusanya maoni kwa wananchi juu ya utendaji wao wa kazi Mahakamani
Naibu Mrajisi wa Mahakama Kuu Zanzibar, Ali
Ameir Haji akitoa ufafanuzi wa masuali
mbali mbali yalioulizwa na wananchi wa shehia ya Mkoroshoni Wilaya ya Chake
chake Pemba, juu ya mwenendo wa Idara ya Mahakama, ambapo Idara hiyo imeanzisha
utaratibu wa kukutana na wananchi ili kuwaleza kasoro zao na kuongeza
uwajibikiji.Picha na Haji Nassor,
Pemba
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)