Katibu Mkuu Wizara ya fedha, Katibu
Mkuu Wizara ya Fedha, Ramadhan Khijah akizungumza wakati wa uzinduzi
wa bodi mpya wa wakurugenzi ya Mfuko wa Akiba ya Wafanyakazi (GEPF)
uliofanyika jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki. Kulia ni Mkurugenzi
Mkuu wa Mfuko wa Akiba ya wafanyakazi GEP, Daud Msangi na Mwenyekiti
mpya wa bodi ya GEPF, Joyce Shahidi. (Picha na Dande JR)
Mkurugenzi Mkuu wa GEPF, Daud Msangi
Mwenyekiti
wa bodi iliyomaliza muda wake ya Mfuko wa wa Akiba ya Wafanyakazi
(GEPF), iliyomaliza muda wake, Monica Mwamunyange akizungumza katika
hafla hiyo.
Meneja Masoko wa GEPF, Aloyce Ntukamazina akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa bodi hiyo
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Ramadhan Khijah akimkabidhi zawadi,Mwenyekiti
wa bodi iliyomaliza muda wake ya Mfuko wa wa Akiba ya Wafanyakazi
(GEPF), iliyomaliza muda wake, Monica Mwamunyange kutokana na mafanikio
yaliyopatikana kwa kipindi cha uongozi wake





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)