Meneja
wa kinywaji cha Redds Original Victoria Kimaro kulia akizungumza na
waandishi wa habari kuhusu fainali ya redds Miss kanda ya Ilala
inayotarajia kufanyika kesho ijumaa katika ukumbi wa nyumbani uliopo
namnga jijini Dar Es Salaam .katikati ni Mratibu wa shindano hilo Juma
Madabila na Msanii Steven Nyerere
Steven nyerere akizungumza na waandishi wa habari





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)