CHAMA CHA WALIMU TANZANIA (CWT) CHALAANI MAUAJI YA MAREHEMU MWANGOSI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

CHAMA CHA WALIMU TANZANIA (CWT) CHALAANI MAUAJI YA MAREHEMU MWANGOSI

Rais wa chama cha walimu (CWT) Tanzania Mwalimu Gratian Mukoba akiongea na waandishi wa habari leo makao makuu ya chama hicho jijini Dar es salaam leo juu ya kuzinduliwa kwa baraza la majadiliano ya pamoja kwenye utumishi wa walimu, kwa mujibu wa Gratian mukoba amesema baraza hilo kazi yake itakuwa kuishauri serikali kuhusu njia mbalimbali za kuzuia kutokea kwa migogoro baina ya walimu na serikali, Aidha alisema chama cha walimu CWT kimelaani kwa nguvu zote kwa kuuwawa kwa aliekuwa mwandishi wa habari wa kituo cha channel Ten Daudi Mwangosi na kutoa wito kwa    wahusika waliofanya kitendo hicho wakibainika wafikishwe kwenye vyombo vya sheria.kushoto kwake  Kaimu Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Ezekiel Oluoch
Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa katika mkutano huo jana PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages