Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Khamis Kagasheki (kushoto)
akiwa na Waziri Mkuu wa Swaziland Sibusiso Dlamini wakifuatilia kwa
pamoja hotuba ya ufungaji wa Mkutano wa Tisa wa Sullivan iliyotolewa na Rais wa
Jmhuri ya Equatorial Guinea Mhe. Obiang Mbasogo jijini Malabo, Equatorial
Guinea.
Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Khamis Kagasheki (kulia) akijadiliana jambo na Balozi Carlton Masters (kati) kutoka Marekani ambaye ni mmoja wa wanahisa wa Hoteli ya Kitalii ya Mount Meru ya jijini Arusha katika Mkutano wa Tisa wa Sullivan uliomalizika jana jijini Malabo, Equatorial Guinea. Kushoto ni Seneta Paul Millen kutoka nchini Jamaica. Picha na Pascal Shelutete
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)