Waziri Mkuu Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi ya picha, balozi wa Jamhuri
ya Korea nchini aliyemaliza muda wake, Bw. Young- Hoon Kim ambaye
alikwenda Ofisini kwa Waziri Mkuu Agust 23 2012 kuaga.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Balozi wa Jamhuri ya Korea
nchini, Bw. Young-Hoon Kim ambaye alikwenda Ofisini kwa Waziri Mkuu
jijini Dar es salaam Agust 23, 2012 kuaga.Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)