Waziri wa Habari, Vijana,
Utamaduni na Michezo, Dkt. Fenella Mukangara akisisitiza jambo wakati akiongea
na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Tomorrow International ya Korea Bw. David Kim (wa pili kutoka kwa Mhe. Waziri)
alipomtembelea ofisini kwake leo jijini Dar es Salaam ili kuzungumza namna ya
kushirikiana na Wizara katika kuanzisha miradi mbalimbali kwa ajili ya kuwapa vijana fursa za ajira
na kuwapa uelewa katika maswala
ya teknolojia. Kushoto ni Mkurugenzi wa
Maendeleo ya Vijana, Dkt. Elisante Ole Gabriel na katikati ni Mwenyekiti wa
International Youth Fellowship Tanzania, Dkt. Kansolele Ntevi.
Picha na Concilia Niyibitanga,
Wizara ya Habari,Vijana, Utamaduni na Michezo.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)