USAFIRI UNAPOKUWA WASHIDA MIDA YA JIONI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

USAFIRI UNAPOKUWA WASHIDA MIDA YA JIONI

Wakazi wa Jiji la Dar wakiwa wanagombania daladala wakati wa jioni ambapo usafiri wa kurejea nyumbani unapokuwa wa Shida. Na wanalazimika kuzunguka na Daladala yote hiyo ni kwaajili ya kuwahi nafasi ya kukaa.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages