UKIONA WATU WAMEZUNGUKA JUA BODABODA TAYARI KASHAGONGWA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

UKIONA WATU WAMEZUNGUKA JUA BODABODA TAYARI KASHAGONGWA

Wakazi wa Maeneo ya Tabata Baracuda wakiwa wamezunguka gari aina ya Toyota Cresta ambayo imemgonga mwendesha pikipiki ambaye alikua amebeba makreti ya soda kwenye pikipiki hiyo,Bahati nzuri hakuna aliyepoteza maisha ila mwendesha pikipiki amejeruhiwa kidogo huku baadhi ya soda alizokuwa amebeba kuvunjika na pikipiki yake kuharibika vibaya

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages