SIMBA YA DAR NA JAMHURI YA PEMBA HAKUNA MBABE SUPER 8 - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

SIMBA YA DAR NA JAMHURI YA PEMBA HAKUNA MBABE SUPER 8

 Mshambuliaji wa timu ya Jamhuri ya Pemba, Mohamed Ally (kulia) akimtoka beki wa Simba, Hassan Khatib, wakati wa mchezo wa Super 8 uliochezwa kwenye Uwanja wa Chamazi nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam, jana. Timu hizo zilitoka sare ya kufungana bao  1-1.
 Gorikipa wa Jamhuri ya Permba, Jaffari Said, akiokoa moja ya hatari zilizoelekezwa langoni kwake wakati wa mchezo wa ufunguzi wa mashindano ya Super 8 kwenye uwanja wa Chamazi jijini Dar es Salaam jana

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages