Wadau waliohudhuria seminar wakichangia
mada
Deogratius Kilawe akiwezesha semina
hiyo hapa Mbezi Garden Hotel
Christopher
Mosby (chriss mosby) akitoa mada kwenye semina
Semina iliyofanyika wiki Hii
jumamosi tarehe 25 Agust imefana sana,ambapo iliudhuriwa na watu wengi kutoka
kada mbalimbali raia wa Tanzania na baadhi watanzania lakini walio nje ya
nchi,Mwendeshaji na msimamizi wa semina hiyo Mr Deogratius kilawe amesa
Amefurahishwa sana na mwitikio wa Watanzania kuanza kuchangamkia Semina
mbalimbali ambazo lengo lake kuwapatia maarifa watanzania ili waweze pambana
vema na utandawazi,Pia hii iemmpa motisha aweze fenya Tena semina wiki lijalo
Hapo Hapo Mbezi garden Hotel Inayokwenda kwa Jina "how to improve your memory"(Jinsi
ya kuboresha utunzaji wa kumbukumbu kichwani) Hii ni kutokana kuwepo na hii
dunia ya watu kuwa busy na kazi Hivyo kama usipokuwa makini Unaweza sahau ahadi
mbalimbali na mipango Hivyo maarifa yanahitajika ambapo wiki lijalo wazungumzaji
watakuwa Dr Rugola Mtandu(medical doctor/masters degree holder) na Mr Shadrack
Ntuha (Visionary).
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)