Msanii
mkali wa Muziki wa Hip Hop hapa nchini,Roma Mkatoliki akitoa burudani
kabambe kwa washabiki wake walikuwa wamefukika kwa wingi katika viwanja
vya Fukwe ya Coco Beach,jijini Dar es Salaam jioni ya leo ikiwa ni
bonanza la vinywaji visivyo na kilevu vya Grand Malt na Vita Malt kutoka
kampuni ya bia Tanzania (TBL).
Wasanii
wa Kundi la TMK Wanaume Family,Chegge na Temba wakifanya vitu vyao
wakati wa Bonanza na Grand Malt na Vita Malt,kwenye viwanja vya Fukwe ya
Coco Beach jijini Dar es Salaam leo.
Bibi.
Cheka kutoka TMK wanaumeeee akichana ile michano ya kifree style mbele
ya umati wa watu uliokuwa umefurika kwenye viwanja vya fukwe ya Coco
Beach,jijini Dar es Salaam leo.
Temba na Chegge wakikamua kisawasawa.
Mh. Temba na Bibi Cheka wapienda sambamba.
Chegge kazini.
Jukwaa la ukweli na lakisasa ndilo lililokuwa limefungwa leo.
Dogo mwingine kutoka TMK Wanaume Family aitwae Mwarami Hamis a.k.a Dogo Muu akifamua stejini.
Nyomi lilikuwa ni la kufa mtu ufukweni hapo.
Wazee wa kuchana wakipena makavu stejini.
Wazee wa Kugansi.
Mwanamke nyongaaaaa.Picha Kwa Hisani Ya Michuzi Blog
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)