Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua mazao ya mbogamboga wakati
alipotmbelea maonyesho ya wakulima Nanenane kwenye uwanja vya Themi,
Arusha Agust 8, 2012.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akifurahia mzinga wa nyuki aliozawadiwa na
TASO katika maonyesho ya Wakulima Nanenane kwenye uwanja wa Themi Arusha
Agust 8, 2012. Kulia ni Naibu Waziri wa Kilimo na Chakula na
Ushirika, Adam Malima (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)