NI ZAMU YA ZOLA D NA MCHUMIATUMBU UZITO WA JUU - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

NI ZAMU YA ZOLA D NA MCHUMIATUMBU UZITO WA JUU

Bondia David Michael Mlope (Zola D – King) akitunishiana msuli na Alpjonce Joseph (Mchumiatumbo) wakati wa upimaji uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika siku ya idi pili katika Uwanja huo huo wa Chuo cha Bandari Temeke.
Bondia David Michael Mlope (Zola D – King)  akipima uzito leo kwa ajili ya mpambano wa idi pili utakaofanyika katika Uwanja huo huo wa Chuo cha Bandari Temeke
Mwenyekiti wa SHIWATA Cassim Taalib katikati akiwainua mikono juu mabondia  David Michael Mlope (Zola D – King)  kushoto na Alpjonce Joseph (Mchumiatumbo).
BONDIA Alpjonce Joseph (Mchumiatumbo) AKIPIMA UZITO LEO KWA AJILI YA MPAMBANO WAKE NA David Michael Mlope (Zola D – King) KULIA.
BONDIA Alpjonce Joseph (Mchumiatumbo) AKIPIMA UZITO.
MTANGAZAJI WA KITUO CHA ITV AMIR MASARE AKIMUOJI BONDIA David Michael Mlope (Zola D – King).
BONDIA David Michael Mlope (Zola D – King)  Alpjonce Joseph (Mchumiatumbo).Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages