Pamoja
na Polisi wa usalama barabarani manispaa ya Iringa wakikamata gari
(Yenye rangi nyeupe) ambalo lilikuwa limeegeshwa eneo ambalo limewekwa
alama inayokataza magari kuegeshwa wakati huo huo gari lingine dogo
likiwa limeegeshwa chini ya Kibao Kinachokatazwa Kuegeshwa magari ndio
kusema alama hii haionekani, au askari polisi hao hawalioni gari hilo au
mwenye gari hili yupo juu ya sheria na kupelekea kuvunja sheria hiyo
ya barabarani?
-






No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)