Mrembo
Lisa Jensen ambaye ni Miss World Tanzania 2012 amerejea jijini Dar es
Salaam jana akitokea nchini China alipokwenda kuiwakilisha nchi katika
mashindano ya Dunia mwaka huu na kupokelewa na viongozi kadhaa wa Kamati
ya Miss Tanzania akiwepo Mkurugenzi wa Lino International Agency
waandaaji wa Miss Tanzania Hashim Lundenga (kulia) aliyefika uwanja wa
ndege wa JNIA Dar es salaam kumpokea.
Lisa
akizungumza na viongozi wa Kamati ya Miss Tanzania, kutoka kushoto,
Katibu Mkuu, Bosco Majaliwa, Mrembo Amisa Hassan, Mkurugenzi Hashim
Lundenga na Ofisa Habari wa Kamati, Haidan Rico
Lisa
akila pozi ya picha na mmoja wa warembo waliofika kumpokea Amisa
Hassan. Lisa alifanikiwa kuingia Robo fainali za Top Model na kumi na
kumi bora ya Shindano la Multmedia Award 2012. SOURCE: www.mrokim.blogspot.com
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)