Meya manispaa ya Ilala afuturisha - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Meya manispaa ya Ilala afuturisha

 Meya wa Manispaa ya Ilala, Mstahiki Meya Jerry Silaa leo aliandaa futari iliyohudhuriwa na watu mbalimbali wakiwepo viongozi wa dini, viongozi wa serikali, madiwani, wafanyabiashara na wananchi wa kawaida na kufanyika katika ukumbi wa jiji wa Anatoglo Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. Pichani ni Meya Slaa akigawa tende kwa watu waliofunga.  
 Mustapher Hassanali akiongoza wafanyakazi wa 361 kuandaa zawadi kwa wageni waalikwa. kampuni hiyo ndio iliyoratibu shughuli nzima ya kufuturisha.
 Mstahiki Meya Jerry Silaa akimkaribisha Dr. reginald Mengi katika futari hiyo.
 Dr. Reginald Mengi akisalimiana na  SHEIKH Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Musa Salum
 Mstahiki Meya Jerry Silaa akiwakaribisha wananchi waliohudhuria futari hiyo aliyo wandalia.
 Waumini wakiwa katika swala
 Wageni waalikwa wakipakua futari iliyoandaliwa na Meya wa Manispaa ya Ilala.
 Viongozi mbalimbali wakifuturu.
 SHEIKH Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Musa Salum, akitoa neno la shukrani kwaniaba ya waalikwa wote.
 Mstahiki Meya, Jerry Silaa akizungumza wakati wa kufuturisha.
 Duaa ilisomwa na SHEIKH Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Musa Salum, huku Mstahiki Meya Jerry Silaa akiipokea.
 Mstahiki Meya akitoa zawadi kwa wageni mbalimbali waalikwa.
Mstahiki Meya wa Manipaa ya Ilala, Jerry Silaa (kanzu jeupe) akipiga picha ya pamoja na vijana wa 361 waliofanikisha shughulihiyo ya kufuturisha.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages