Mwenyekiti
wa taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete akiwa na
baadhi ya wake wa viongozi mbalimbali (kulia) Mama Zakhia Bilal na
(wapili kushoto) Mama Asha Bilal, wakifurahia uzinduzi wa Mpango wa Kasi
ya Uwezeshaji wa Wanawake na Wasichana leo katika ukumbi wa Kilimanjaro
Hyatt Regency jijini Dar es salaam.
Mwenyekiti
wa taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete akiwa na
aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Dkt Asha-Rose Migiro
baada ya Mama Kikwete kuzindua Mpango wa Kasi ya Uwezeshaji wa Wanawake
na Wasichana leo katika ukumbi wa Kilimanjaro Hyatt Regency jijini Dar
es salaam. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)