Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
mkewe Mama Zakhia Bilal, Naibu Waziri wa Chakula na Ushirika, Adam
Malima, wakiangalia Mhogo aina ya Mumba wenye umri wa miaka (3) wakati
Makamu alipotembelea katika Banda la Kilimo Kwanza, maonyesho ya Nane
Nane kwenye Viwanja vya Nzuguni mjini Dodoma jana.Wa pili (kulia) ni Mke
wa Makamu, Mama Zakhia Bilal na wa kwanza (kushoto) ni Naibu Waziri wa
Chakula na Ushirika, Adam Malima.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisikiliza maelezo kuhusu mbegu ya mizabibu, kutoka kwa Mkurugenzi wa
Utafiti wa Kilimo, Kanda ya Kati Dodoma, Leon Mroso.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisikiliza maelezo jinsi mashine za kukamulia miwa zinavyofanya kazi,
kutoka kwa Mjasiliamali, Patrisia Kisabua, wakati Makamu alipotembelea
katika Banda la Kiwanda cha Sukari, maonyesho ya Nane Nane kwenye
Viwanja vya Nzuguni mjini Dodoma jana.Kushoto ni Naibu Waziri wa Chakula
na Ushirika, Adam Malima.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akipata maelezo jinsi ya uzalishaji wa zao la Zabibu kutoka kwa Ofisa
Mtafiti Msaidizi wa Kilimo wa Kanda ya Kati Dodoma, Richard Malle, (wa
pili kulia).
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)