Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akijumuika na waumini wa dini ya Kiislam, katika swala ya Magharibi
wakati alipojumuika na waumini hao katika Futari ya pamoja
aliyowaandalia na kufuturu nao Migombani Unguja mjini Zanzibar jana.
Wake
wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Zakhia Bilal
(wa pili kulia) na Mama Asha Bilal (katikati) wakijumuika na waumini wa
dini ya Kiislam, wakati wa futari ya pamoja iliyoandaliwa na Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, kwa
waumini hao iliyofanyika Migombani Unguja, mjini Zanzibar jana.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na baadhi ya Waumini wa dini ya Kiislam, baada ya kufuturu nao
futari ya pamoja aliyowaandalia Migombani Unguja mjini Zanzibar jana.

Mke
wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal,
akipiga picha ya pamoja na baadhi ya kinamama, baada ya kushiriki nao
katika futari ya pamoja iliyoandaliwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, iliyofanyika jana
Migombani Unguja mjini Zanzibar.
Mke
wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Zakhia
Bilal, akipiga picha ya pamoja na baadhi ya kinamama, baada ya kushiriki
nao katika futari ya pamoja iliyoandaliwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, iliyofanyika jana
Migombani Unguja mjini Zanzibar.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)