Meneja Mradi wa Wonder Workshop,
Lisette Westerhuis, akimuonesha Meneja Mawasiliano na Habari wa Kampuni
ya Bia Tanzania (TBL), Editha Mushi, sanamu ya ndege aliyetengenezwa kwa
kutumia vyuma chakavu hivi karibuni katika karakana hiyo iliyopo
Msasani, Dar es Salaam. TBL itakuwa inaipatia kila mara Karakana hiyo
vyuma chakavu na makasha kwa ajili yakutengenezea vifaa mbalimbali
zikiwemo sanamu za wanyama.
Baadhi ya sanamu zilizotengenezwa
kwa kutumia vyuma chakavu zikiwa zimepambwa katika moja ya bustani
katikati ya Jiji la Dar es Salaam.
.Meneja Mawasiliano na Habari wa
Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Editha Mushi (kushoto) akiwasaidia
wafanyakazi wa Karakana ya Wonder,Nico Ngalawa (kulia) na Hafidh
Selemani wakipakia kwenye gari vyuma chakavu walivyopewa msaada na
Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), vilivyokusanywa juzi katika makao makuu
ya kampuni hiyo yaliyopo Ilala Mchikichini, Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)