BONDIA RASHIDI MATUMLA AJIFUA KWA KINYOGOLI KWA AJILI YA MPAMBANO WA IDI MOSI DAR LIVE - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

BONDIA RASHIDI MATUMLA AJIFUA KWA KINYOGOLI KWA AJILI YA MPAMBANO WA IDI MOSI DAR LIVE

Kocha  Mkongwe wa mchezo wa Masumbwi nchini  Habibu Kinyogoli 'kushoto' akimfua bondia Rashidi Matumla wakati wa mazoezi yanayoendelea katika kambi ya Ilala Matumla anajiandaa na kupambana na Maneno Osward siku ya Idi mosi litakalofanyika katika ukumbi wa Dar Live.
Kocha  Mkongwe wa mchezo wa Masumbwi nchini  Habibu Kinyogoli 'kushoto' akimfua bondia Rashidi Matumla wakati wa mazoezi yanayoendelea katika kambi ya Ilala Matumla anajiandaa na kupambana na Maneno Osward siku ya Idi mosi litakalofanyika katika ukumbi wa Dar Liv.
Bondia Rashid Matumla 'kushoto' akinolewa na kocha mkongwe wa mchezo wa ngumi Habibu Kinyogoli Masta wakati wa mazoezi yanayoendelea katika kambi ya Ilala Matumla anajiandaa kupambana na Maneno Osward siku ya Idi Mosi katika ukumbi wa Dar live. Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages