AUDITION YA 'ALLY REHMTULLAH COLLECTION 2013' IMEANZA KATIKA HOTELI YA SERENA JIJINI DAR - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

demo-image

AUDITION YA 'ALLY REHMTULLAH COLLECTION 2013' IMEANZA KATIKA HOTELI YA SERENA JIJINI DAR

.com/blogger_img_proxy/
Pichani Juu na Chini ni Sehemu maalum iliyoandaliwa kwa ajli ya majaji pamoja na Jukwaa la kutembelea wanamitindo.
.com/blogger_img_proxy/
.com/blogger_img_proxy/
Majaji watakaofanya Usaili wa kutafuta wanamitindo watakaoshiriki kwenye Onyesho la Mavazi la Ally Rehmtullah Collection 2013, litakalofanyika tarehe 8 September 2012 wakibadilishana mawazo leo kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar kabla ya kuanza usaili huo.
.com/blogger_img_proxy/
Baadhi ya wanamitindo 'Models' waliojitokeza kushiriki katika usaili huo wakitafakari itakuwaje...???Kwa wanaotaka kushiriki endeleeni kujitokeza

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Pages