Watangazaji wa Clouds Fm Adam Mchomvu na Loveness Love a.k.a Diva Mimi wakirusha matangazo 'Live' ndani ya jiji la Tanga oyeeeeeeeeeeeeeeeeee! Fiesta ndiyo hiyo imeanza kubamba na itafanyika tarehe 26.8.2012 uwanja wa Mkwakwani kwa kiingilio cha shilingi elfu tani tu (5,000).
Watangazaji wa Clouds Fm Adam Mchomvu akiwa na msanii wa Tanga mwanadafada Michu wa michujo.
Mkuu wa Vipindi wa Clouds Fm Sebastian Maganga akiweka mambo sawa.
Chini ya udhamini wa Gapco ndani Serengeti Fiesta 2012, mtangazaji wa Clouds Fm Adam Mchomvu akifanya mahojiano na dereva Juma ambaye amewezesha safari ya Dar kwenda Tanga, pembeni ni Harun akichukua matukio 'live' Clouds TV.
Mistari ikishuka.
Mwanadada Loveness Love akiwa na Sudi Brown.
Wakazi wa Tanga wakiwa wamejitokeza kwa wingi.
Kikosi kizima cha Clouds Fm upande wa Mitambo Jackson na Daudi wakiwa na mkuu wa vipindi wa Clouds Fm Sebastian Maganga wakisababisha live ndani ya Tanga.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)