Waziri
wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dkt. Shukuru Kawambwa (kushoto)
akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya Shilingi 26,000,000 kwa
mwakilishi wa Hassan Maajar Trust (HMT) na Andrew Hogson, Kaimu Meneja
Mkuu wa tiGo akishuhudia. Fedha hizo zitatumika kununulia na kugawa
madawati katika shule tano kutoka wilaya za Makete na Njombe. Shule
zitakazonufaika ni Maendeleo (135), Umoja (196), Kumbila (200), Makonde
(152) na Mbela (37).
-





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)