Waombolezaji
wakiwa wamebeba mwili wa Mzee Sadik Ismail Katila, shemiji yake Waziri
Mkuu Mizengo Pinda, katika mazishi yaliyofanyikaMjiniMpanda Julai 10,
2012.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiweka udongo kwenye kaburi la shemeji yake, Mzee
Sadik Ismail Katila katika mazishi yaliyofanyika mjini Mpanda Julai
10,2012.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)