Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwasha trekta wakati alipozindua
kampeni ya kimkoa ya matumizi ya matrekta makubwa katika kilimo mkoa wa
Ruvuma iliyofanyika kwenye uwanja wa zimamoto mjini Songea Julai 7,
2012.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama ngoma wakati alipozindua
kampeni ya kimkoa ya matumizi ya matrkta makubwa katika kilimo mkoani
Ruvuma iliyofanyika kwenye uwanja wa zimamoto mjini Songea Julai
7,2012.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikata utepe kuashiria uzinduzi wa kampeni
ya kimkoa ya matumizi ya Matrekta makubwa katika kilimo mkoani
Ruvuma iliyofanyika kwenye uwanja wa zimamoto mjini Songea
Julai 7,2012.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua miche ya kahawa wakati
alipotembelea shamba la katika kijiji cha Likopelo wilayani Songea vijijini Julai 7, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)