Ujenzi Na Upanuzi Wa Barabara Ya Mwanza- Musoma Washika Kasi - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Ujenzi Na Upanuzi Wa Barabara Ya Mwanza- Musoma Washika Kasi



Ujenzi na upanuzi wa barabara ya Mwanza hadi Musoma umeshika kasi na sasa barabara hii inaelekea kuingia mjini Musoma, mpaka asubuhi ya leo shughuli hii ilikuwa imefikia eneo la baruti nje kidogo ya mji wa Musoma hili ndiyo eneo la Baruti. 
Eneo la Kariakoo, Bweri asubuhi ya leo.Picha kwa hisani ya .www.wotepamoja.com)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages