UFUNGUZI WA MAFUNZO YA WAKUFUNZI WA SENSA YA WATU NA MAKAAZI ZANZIBAR - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

UFUNGUZI WA MAFUNZO YA WAKUFUNZI WA SENSA YA WATU NA MAKAAZI ZANZIBAR

 -Baadhi ya Wakufunzi wa Sensa ya Watu na Makaazi ya mwaka 2012 Ngazi ya Mkoa waliohudhuria katika Mafunzo ya Wakufunzi hao iliofanyika huko Tunguu Wilaya ya Kati Unguja.
 
 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akitoa hotuba ya Ufunguzi wa Mafunzo ya Wakufunzi wa Sensa ya Watu na Makaazi ya Mwaka 2012 Ngazi ya Mkoa iliofanyika huko Tunguu Wilaya ya Kati Unguja.
 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akisisitiza jambo katika mahojiano na Mwandishi wa Habari wa TBC Haji Bwegege kuhusiana na suala zima la Sensa huko Tunguu katika Ufunguzi wa Mafunzo ya Wakufunzi wa Sensa ya Watu na Makaazi ya Mwaka 2012 Ngazi ya Mkoa Zanzibar.
 
Mtakwimu Mkuu wa Serikali ya Zanzibar Mohamed Hafidh Rajab akifafanua jambo kuhusiana na Sensa ya Watu na Makaazi 2012 katika mahojiano yake na Mwandishi wa Habari wa Idara ya Habari Maelezo Zanzibar Fakih Mjaka huko katika Ufunguzi wa Mafunzo ya Wakufunzi wa Sensa ya Watu na Makaazi ya Mwaka 2012 Ngazi ya Mkoa Zanzibar. PICHA ZOTE NA YUSSUF SIMAI -MAELEZO ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages